receptionist wa equity bank

receptionist wa equity bank

Nenda Stanbic tawi la Kinondoni(ile njia ya kwenda kinondoni) kuna Bank Teller mmoja mweupe hizi mzuri. Ana tabasamu zuri na sauti nzuri mno. Kila siku nikiwa kwenye mstari pale natamani niende anihudumie ila nakuta inabidi niende kwa ile midume mingine daah!!

hya sema sijabahatika kufungua account stanbic yet
 
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF

hapa jf wakati mwingine huwa unabidi uuchune tu sasa demu wangu ushaanza kumtamani arifee..
 
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF

Chunga sana chali yangu,mke wangu yule ama unachachawa kwa vile hana pete.Tutatoana ngeu nakuambia
 
Branch manager kafanikiwa coz m sure inamdia kuongeza customers wenye mimacho kama wewe
Anyway sio mbaya na mimi nikipita hapo leo niulizie taratibu za kufungua account
 
acha mwendelezo wa udomo zege mpaka kuwa na mawazo zege..weka picha tupime udhaifu wa machaguo yako..isijekuwa yaleee ya ganda la muwa la juzi....chungu kaliona kibuzi. Pole wee.

Cut the story short weka picha tuone sio kila mwana jf anaishi huko uliko wewe ...na hiyo equity bank huku kwetu kantalamba haipo.

Au ndio kidemu chako unataka kuki-paisha ili keshokutwa ututambie.....nasisitiza hoja ya kuweka picha bado huna mbadala wake.

umenikumbusha mbali na hiyo kantalamba haki ya mama equity bank utaisikia kwa kina

kidoleoo7!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF

Nenda kakongee naye tu, maana wengi waliomuona wanaogopa pressure kama wewe hivyo ukienda wewe utakuwa wa kwanza!!!
 
kwanin hyo picha unaiangalia usiku?? Usjekuwa unalala na AYU? Hahahahaha
 
Ni wapuuzi wachache ambao hawataelewa unaitangaza hiyo benki(specifically hiyo branch)...UMELIPWA BUKU NGAPI!?
 
Shukrani sana kwa kutoa hizi taarifa za kifukunyuku kwa playaz wote...

Si umesema Equity Bank pale Golden Jubilee Towers eenh...!!

Ndio ushamwaga mtama kwenye kuku wengi hivyo
 
ngoja nikitoka lunch nikimbie hapo equity bank fasta, nikamuone. ntakusaidia kukuleta number yake
 
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF
Kuna sababu gani ya kuiangalia hiyo picha USIKU tu na siyo wakati mwingine wowote. Is it related to any other personal use.
 
Back
Top Bottom