receptionist wa equity bank

Duh mbona huyo binti ni mbaya sana aisee...ana sura mbaya na mweusi kama jaluo...aisee na ule unene wake mie hoi...kweli ganda la muwa la jana mbu kaona kivuno...hebu nenda TIC ukutane nae..uone na huyo wako...utadata...
 
Embu weka hizo legal proceeed and the likes pembeni and let us admire the best creations of God ebana mimi nimeshawishika kwenda kumuona huyo mtoto..atakua mkareee Africa nziMaaaaa...!!!!
 
Kuna sababu gani ya kuiangalia hiyo picha USIKU tu na siyo wakati mwingine wowote. Is it related to any other personal use.

personal use? Yes i use it to refresh my eyes
 
Duh mbona huyo binti ni mbaya sana aisee...ana sura mbaya na mweusi kama jaluo...aisee na ule unene wake mie hoi...kweli ganda la muwa la jana mbu kaona kivuno...hebu nenda TIC ukutane nae..uone na huyo wako...utadata...

me nmedata na huyu huyu huyo wa TIC data naye mwenyewe
 
Ni wapuuzi wachache ambao hawataelewa unaitangaza hiyo benki(specifically hiyo branch)...UMELIPWA BUKU NGAPI!?

buku????
Your thinking is so cheap
bila shaka mshahara wako ni laki 2.5
 
Mkuu huyo dada namfahamu ni balaaa huwa namuangaliaga weeee then nakausha halafu kuna mwingine anaitwa ruth huyo ni balaa nyingine yaaani pale naendaga tu pole mdau tupo wengi
 
Aisee tuna shida sana wanaume sisi, pole sana jamaa. We ugulia maumivu tu!
 
Ndugu umepost hili bandiko kwa sababu hauna

Ya kutosha.
 

Ngoja nikafungue account hapo kesho.
 
Good thing tuna ofisi ya kufanya data recovery hapo hapo kwenye hilo jengo, kesho ntakutumia namba yake mkuu.
 
Nilimuona 77 Banda la JKikwete nikamdeku kama haweki picha mimi kesho naenda kuwachukulia hiyo picha kwanza facebook nachukua mda huu!Asitake kulingia kidemu hicho! wala siyo mzuri kama alivyo mpamba wait here Who Cares?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…