kalemauji JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 1,629 Reaction score 1,845 Mar 28, 2015 #1 wadau habari za leo naomba kuuliza vp kuhusu receiver ambazo unaweza kupata hata channel mbalimbali za zinazoonesha mpira wa ulaya hususani EPL UEFA na ligi zingine za ulaya.kwa anayefahamu msaada tafadhali Natanguliza shukrani ahsante.
wadau habari za leo naomba kuuliza vp kuhusu receiver ambazo unaweza kupata hata channel mbalimbali za zinazoonesha mpira wa ulaya hususani EPL UEFA na ligi zingine za ulaya.kwa anayefahamu msaada tafadhali Natanguliza shukrani ahsante.