Inawezekana wewe ni MWL. Sina hakika sana lakin Nina mifano mingi ambayo recategorization imegoma. Sijui kwa mini lakin nahisi kuna utata kwenye taratibu zenuKaka habari za leo wanajukwaa
naomba ushauri toka kwako
Nataka kusoma masters na tayari nimepata kudahiliwa chuo kikuu kwa kozi ya masters of natural resorce management
Ushauri niuombao ni kwamba je,niendelee na mpango wa kuisoma hiyo kozi kwa mategemeo ya kuja kuomba recategorization baada ya kumaliza hiyo kozi kwa mwajiri wangu wa halmashauri???
Naomba hivyo kwa sababu wengi kati ya ninaoongea nao wanasema masters ni ngumu kufanyiwa recategorization labda kama nataka kusoma hiyo kozi nianze na bachelor ili baadae niombe recategorization
NAOMBA USHAURI TOKA KWANU KWA KUTUMIA UZOEFU MLIONAO
NAOMBA KUWASILISHA
Umeeleweka mkuu,notedMwajiri wako anaweza akakufanyia favour kutokana na uwezo wako na jinsi mnavyoelewana katika kazi na akaona umuhimu wa unachofanya kazini (sometimes hutokea mtu kuwekwa kitengo tofauti na aliyosomea/kuajiriwa) na unachoenda kusomea.
Ugomvi upo hukoo utumishi baada ya kuwasilisha vyeti!! Kuna watu wanafanya kazi ya kuapprove ili uweze kutambulika kwa hiyo kada mpya uliyosomea. Ni wasumbufu, wanadelay sana, miungu watu na n.k.
Kuna mdau namfahamu anasotea hiyo kitu, mwajiri kamkubalia ila approver huko utumishi kakaa kimya miezi inakata sasa.
Good ideaKama unataka sana kusoma na kufanyiwa recategorisation, ahirisha mwaka kusoma masters mwaka huu hadi mwakani. But, soma Open University degree husika year1. Ukiwa year2 na 3 hapo Open University, utasoma masters hiyo. Then, ukihitimu kotekote, baada ya mwaka tangu kuhitimu ndio utaomba kufanyiwa recategirizartion. BA-NRM itakuwa msingi wa kufanyiwa recategorization na masters itaongeza sifa zako kwny kazi mpya unayoiomba. Zingatia maelezo ya wengine pia.
Mkuu kwani mtu mwenye postgraduate diploma in Education akiwa ametokea field tofauti c huwa anaajiriwa kama mwalimu mwenye degree, vp kwa mtu anayekuwa na postgraduate diploma in Computer science from different field naye c anaweza akawa recategorized kama mwenye degree tu auWiki jana nilipata chance km hyo but mwisho wa cku nikaambiwa lzm iwe kwa first degee. Nikaoneshwa na mifano ya watu waliochukua postgraduate na masters but wameshindwa kufanyiwa hyo kitu. Ishu inatakiwa kwa bachelor tu hyo masters utapoteza muda tu
Kwa hapo una angali hilo pia,lakini mm kuna jamaa ang alikuwa mtendaji,now ni tabibu.(c.o) ukilinganisha hapo kwa kipind alicho anza kazi hiyo ya utabibu ilikuwa na mshahara mkubwa zaidi ya kaz ya mwanzoKomaa na kazi uliyoajiriwa nayo mkuu hizzo mambo za Recategorization zitakurudisha nyuma kwa maaana hata kama umekaa kazini miaka 10 na unapokea 3Mil gross ukifanyiwa recategorization utarudishwa kwenye mshahara wa cheo Kipya ambao hauzid 800,000. So somtym kufanyiwa hiyo kitu ni kutafuta Ujiko usio na tija.
Ni ile Hali ya kuomba mkopo nmb halafu ukiisha bila kufanyiwa chochote Cha maana unaweka atm kadi kwa mruga chacha marwa ili uchukue kwa riba dhamana kadiJamani recategorize ndio nini kwa nyie wa serekalini ?
mkuu Upepo wa Pesa vipi ikiwa uliajiriwa kwa bachelor degree, say, ya accounting, then ukaomba kufanyiwa recategorization kwenda, say, IT kwa level ya diploma as una vyeti vyote vya degree na diploma.?Nnachojua serikalini/tamisemi hawatambui masters, wanaichukulia kama added advantage. Wao wanaitambua degree ya kwanza. Kama ungekua unafundisha chuo ndio inge matter...
ππππNi ile Hali ya kuomba mkopo nmb halafu ukiisha bila kufanyiwa chochote Cha maana unaweka atm kadi kwa mruga chacha marwa ili uchukue kwa riba dhamana kadi
Good idea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha daaah sio poa mzee baba. Umeacha nimecheka kama mazuri. Tupeane Elimu juu ya haya mambo bhanaNi ile Hali ya kuomba mkopo nmb halafu ukiisha bila kufanyiwa chochote Cha maana unaweka atm kadi kwa mruga chacha marwa ili uchukue kwa riba dhamana kadi