sawa sawa, mm ndo nataka niandae ada taratibu, nikikamilisha tu miaka mitatu kazn naomba ruhusa ya kwenda masomoni. afu kuna mdau hapo juu kajibu eti nikienda kusomea IT hakuna ktu ntakua nmefanya, it mean mshahara wa IT (mfano IT wa halmashauri) ni sawa na mshahara wa mwalimu?