Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Akishafanana na Kagame na Museveni ili iweje ?Mkuu Wasaga hoja zako zote ni za msingi sana na hili lingeweza kutokea 2020 only if wishes were horses.
Laiti ungelijua Watanzania wanachaguaga nini, wala usingedhania hivi unavyodhania.
Sisi wengine tumeshauri 2020 tusifanye uchaguzi wa rais, ni wastage of time, money and resources. Tunapendekeza aongezewe muda ili afananie kabisa na Kagame, Museveni na Mugabe.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Paskali