ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,379
Mmmhh!!! Sijui!!! Hapa ni Hamsini kwa Hamsini .. Kuna wengine unaweza kuwa nao na Ukahisi kuwa labda kwa Matendo Yao kwako katika Urafiki Ukaona labda Awe Zaidi Ya Rafiki lakini Mkishaingia Huko Anasahau Urafiki Wenu na Zile huduma Za Kiutu Alizokuwa anakufanyia kabla, na Hapo Ataanza kubadilika siku baada ya Siku na Hata kukumwaga anaweza na wala hutamuona Akijuta wala kuumia so kwangu naipa 50/50 Hii mada