Reasons to fall in love with your best friend

Reasons to fall in love with your best friend

Nahisi dikshenari yangu inazingua....

Maana ya best friend

Maana sijawahi amini kupendana na besti frendi

Inatokea. Mkiwa karibu ndiyo mnapata nafasi ya kujuana vyema na mnagundua mna vitu kibao vinaendana. Mkifahamiana vyema, ndiyo safari inaanza.
 
I have loved my bf.until he got married then I found out that was one sided love..the cycle has expanded and now the wife is my friend to and I have learnt that not everyone you will love you can be with them.
 
Ukishafahamiana na best wako tu urafiki kwishnehi...

Inategemea bana. Mpaka mnafahamiana kunakuwa na curiosity flani imewavuta. Mkikuta sasa hamuendani kiufahamu, ndiyo inakuwa awkward na kila mtu anachukua zake.
 
ngoja na mimi nianzishe ubest na videmu vya mtaani ili nivikamue vizuri

Teh teh....kaka mdogo puppa upo? Mdogo wangu kipenzi....

Usianzishe urafiki watakurubuni bwana puppa...

Wewe soma kwanza, sawa mdogo wangu... puppa
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini inatokea hiyo? Nakosaga majibu kabisaaa....
Rafik wa miaka miwili, after sex mara moja ubest friend kwishney

Sijui hata kwa nini...

Ila ndivyo inavyotokeaga.... mkishachanganya madesa tu urafiki kwishnehi......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom