Pole sana Mkuu. Huyo nae alidhani anakuja kwako kulala? Kama watu wa kuja kwako na kulala wamejaa tele, uliwaona lakini hukuwachukua.No comment at all...ila mimi naboreka pale anaponijibu eti "nasikia usingizi, nimechoka, sina hamu, wewe unataka kila siku, etc"
hahahahaha naona umeniwahi, anyway...ananibania eti analalamika kwamba nimefanya ndio piriton!Pole sana Mkuu. Huyo nae alidhani anakuja kwako kulala? Kama watu wa kuja kwako na kulala wamejaa tele, uliwaona lakini hukuwachukua.
Ila na wewe mkuu inabidi ujirekebishe kidogo. Labda unarudi usiku sana, ndo maana ansema ana usingizi. Au ni uvivu wake tu? Mtafutie Nyakanga amfunde.
hii ni jokes wandugu..