Real Madrid VS Valencia.

Real Madrid VS Valencia.

ZENITH

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
1,063
Reaction score
990
Real madrid tunaongoza 1-0,kafunga Higuain dakika ya 10,mpira ni dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
 
Real madrid tunaongoza 1-0,kafunga Higuain dakika ya 10,mpira ni dakika ya 39 kipindi cha kwanza.

Ahsante kwa kunistua ngoja niutafute huu mchezo kwenye TV...Huwa napenda kuwaangalia wale Real Madrid
 
Dakika ya 41,valencia wanachomoa kupitia kwa jonas.
 
Pepe na casillas wamechanganyana hapa na kutugharimu.
 
Mpira ni mapumziko,Real Madrid 1-1 Valencia.
 
Haya bana wasubiri hao facebook wako,pepe anapewa matibabu baada ya kugongana na kipa wake.

kama ni mpenzi wa playstation! hawa jamaa wangu wanaitwa playstation, hahaha! pepe kazidi kukaba nae anafikiria iker casilas ni david villa nini
 
Kipindi cha pili kishaanza,pepe out,raul albiol in.
 
Du,valencia wanatukimbiza mbaya,lakini mkubwa mkubwa tu.
 
Dakika ya 61,lass diara out,karim benzema in.
 
Tumehamia golini kwa valencia.
 
Real madrid are borin i love watchin ronaldo tho bt barca for me is the team to watch
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom