Real Madrid poleni, ndio soka hilo bwana.

Real Madrid poleni, ndio soka hilo bwana.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,708
Reaction score
1,733
Nilikuwa nimesahau kuwapa POLE jamaa zangu wa Real Madrid kwa kichapo cha jana cha kufungwa goli mbili kwa moja.
POLENI SANA jamani tutakutana tena siku zijazo.
 
penati ya wazi kabisa madrid wamenyimwa... barca mbeleko hadi inachanika... ndo mana bayern walikata ubishi kwa kupiga aggregate ya 7-0 last yr
 
daaah yani yule bale kashakuwa garasa madrid.hii ya ancelotti hata haieleweki cjui kunani.tujipe moyo 2
 
penati ya wazi kabisa madrid wamenyimwa... barca mbeleko hadi inachanika... ndo mana bayern walikata ubishi kwa kupiga aggregate ya 7-0 last yr
Tunajua hamkosi sababu, je baada ya kunyimwa hiyo mnaoiita penati mechi iliishia hapo?
 
Back
Top Bottom