Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
- Thread starter
-
- #19,361
Kuna press conference ya Spain inaendelea saiz kuna aduriz na berrelin na wameomba kutokuulizwa chochote kuhusu de gea maana hawajui kinachoendelea,
Kuna press conference ya Spain inaendelea saiz kuna aduriz na berrelin na wameomba kutokuulizwa chochote kuhusu de gea maana hawajui kinachoendelea,
Anaongea na media saiz but kagoma hiyo ishuWanasema wamebadilisha fasta, De Gea alitakiwa awepo kwenye press conference. In other news AS wanaripoti kuwa Spanish National Police sources have confirmed kwamba documents zilizokuwa published na media leo ni authentic na ziko mikononi mwa judiciary.
Yah ndio nafuatilia updates toka kwa Jonas Giæver but jamaa kakanusha totallyE bhana, naona kuna separate press conference ya De Gea na issue yake hapa.
But if its true de gea is innocent, mwana sheria wake itabidi asilifumbie macho hili suala and should find out who is behind this sagaE bhana, naona kuna separate press conference ya De Gea na issue yake hapa.
Investigators believe the witness could be confused, as the details she gives about the third player implicated do not match Isco. [MARCA]
Real Madrid scouts are already in France, Will watch Pogba's every movement tonight and in the upcoming games. This is serious interest. [Sky Italia]
And in the other way around "Thank you the Fax Machine".