Ili final become EXTREMELY ENJOYABLE wanatakiwa wakutane ATLETICO vs REAL MADRID hao ndiyo wapo kwenye the same heavy weight rank, lakini sio middle weight MAN CITY... Mpambanishe na uzito wa juu ATLETICO ni kuwaonea....si unajua tena adui muombee njaa,ila Real hata wakipita hapa,lazima wakwae kisiki kwa Atletico
si unajua tena adui muombee njaa,ila Real hata wakipita hapa,lazima wakwae kisiki kwa Atletico
Naona Bale na Ronaldo hawako vizuriGood strike by Man City. This is a warning!
Naona Bale na Ronaldo hawako vizuri
Kipindi cha pili sijui itakuwaje?
mancity wanacheza utafikiri mbao FC
Kweli Jesse hayuko vizuri, ila hapa mwishoni mwa kipindi cha kwanza naona kama Bale nae anatatizo i hope halitakuwa kubwa na ataendeleaBale naona kacheza vizuri so far, Ronaldo naona ana some kind of muscle discomfort. Pale mtu aliyeharibu first half ni Jese.
Kwa mpira upi waliocheza jana?😀 Kama watapita madrid basi hawatapona kwa diego simeon
Kweli Jesse hayuko vizuri, ila hapa mwishoni mwa kipindi cha kwanza naona kama Bale nae anatatizo i hope halitakuwa kubwa na ataendelea
Kuna haja ya kumpumzisha Jesse hayuko vizuri leo
Tena onyo kubwaGood strike by Man City. This is a warning!