Mechi nyingi kama sio zote anazoshinda RMA ni pale opponents wao wanashindwa kumzuia Marcelo. Ukisharuhusu Marcelo aongeze mashambulizi na ukaruhusu cross pass au penetration pass zake LAZIMA ufungwe tu. Kosa hili walilifanya ManCity hasa second half katika mchezo wa juzi na wakirudia kosa hilo pale Bernabeu watakaa tu.