Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

nenda kwenye jukwaa la Barcelona hili jukwaa halikuhusu
get out of hear!
 
nenda kwenye jukwaa la Barcelona hili jukwaa halikuhusu
get out of hear!

I'm not a fan of barcelona or madrid bwana mdogo,,,,,,,,,,,, so I will continue to give them the greatest honor kutokana na ubora wao katika soka hapa ulimwenguni almaarufu (Barca),,,hata hivyo mmepita kibahati bahati mno japo mlipangwa na vitimu vidogo vidogo tofauti na Barcelona wamepangiwa vibonde
 
Mimi ni BOCA JUNIORS FAN, aka (LABOMBONERA)...Ila Barca nawapenda mno tofauti na madrinyo
 
haya tumekusikia..
sisi hapa hatuko kujadili timu nyngine tofauti na Real Madrid.
hizo sifa nenda kazimwage kwenye jukwaa la Barca ila hapa siyo sehemu yake rasmi.
 
Real Madrid = 10 times UEFA champions League winners

Barcelona = 4 times winners
 
haya tumekusikia..
sisi hapa hatuko kujadili timu nyngine tofauti na Real Madrid.
hizo sifa nenda kazimwage kwenye jukwaa la Barca ila hapa siyo sehemu yake rasmi.

Vizuri sana umekiri mwenyewe kuwa Baca ni moto wa kuotea mbali big up men! Pia nimeamua kuwaletea humu ili mpate kujifunza mengi from them.... endeleeni kujifariji uefa cup mtakuwa mnalisikia tu
 
Vizuri sana umekiri mwenyewe kuwa Baca ni moto wa kuotea mbali big up men! Pia nimeamua kuwaletea humu ili mpate kujifunza mengi from them.... endeleeni kujifariji uefa cup mtakuwa mnalisikia tu
hivi nyie Barca kwanza mna makombe mangapi ya UEFA?
 
Keylor Navas has kept nine clean sheets in the 10 Champions League games he's played this season. He's conceded zero goals at home. [MARCA]
 
Spanish teams have only been knocked out by other Spanish teams in European Competitions this season. [Squawka]
 
Real Madrid lead the UEFA rankings with 167.199 points. Bayern Munich are ranked second with 158.835, and the Catalans are third with 158.199.

The club coefficient rankings are based on results obtained in the Champions and the Europa League over the course of the past five seasons.

Marca's Cover: "They Don't Even Want to See Each Other [Until Milan]"

Karim Benzema picked up the Mahou Jugador Cinco Estrellas ('Five-Star Player') award for March.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…