Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,781
Hao tukutane nao finalTimu mbaya ya kuogopa ni hii iliyoitoa Barca, wanajua jinsi ya kuifunga Real, yaani Real ni mteja kwa Atletico. Wanakaba hadi kivuli, labda wapewe kadi. Nyekundu.
Baba Wa club kubwa duniani aka real madrid,uefa champions league wana la decima,wapuuzi wale kazi yao imekuwa kuweka mpira kati tu....Hapa nilipo kuna mashabiki wa club mbalimbali wakiwepo wa la liga, serie A, Bundesliga na epl,, nawasikiliza kwa makini wakisema tumesikitika kwa Barcelona BABA WA KLABU DUNIANI katolewa hivyo hakuna sababu ya kuendelea kutazama uefa mpaka pale itakapokwisha, Kwa namna moja ama nyingine We will not pay decoder within one month from the semi-finals...hawa wadau ndiyo maneno yao ninawasikia wakiyazungumza hapa
Baba Wa club kubwa duniani aka real madrid,uefa champions league wana la decima,wapuuzi wale kazi yao imekuwa kuweka mpira kati tu....
Sawa bwana mkubwa(ingawa tunaitana MKUU),ila iam real madrid fan,tangu late 1990's so nawafahamu,lebrancos wote,so shut the hell up,angalia uefa semi's huku unakula jojoI'm not a fan of barcelona or madrid bwana mdogo,,,,,,,,,,,, so I will continue to give them the greatest honor kutokana na ubora wao katika soka hapa ulimwenguni almaarufu (Barca),,,hata hivyo mmepita kibahati bahati mno japo mlipangwa na vitimu vidogo vidogo tofauti na Barcelona wamepangiwa vibonde