Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Kumbe kama kawaida ameifunga 'small club" teeehe teeehe Haters katika ubora wenu
 
Frankly, I'm embarrassed the world thought for a minute, that we couldn't put 2+ past Wolfburg. That's the team we were supposed to have knocked out from the 1st leg.

But anyway, I'm happy for ZZ. We'll need to be on our bestest behaviour and class, to go past any of the giants in the semis. We are still not there.
 
Useless,foolish,fishy & decayed stupidity..
Shame on Yooou.!!!
 
....mtoto wa mama lainiiii,umeguswa kidogo tu unatoa upepo,mpira sio taarabu!
Umetoka kuukalia huko unakuja kulia lia kwa wanaume wa shoka huku wakati hakuna anayetaka kunukizwa mavi uliyochokonolewa huko.
 
Umetoka kuukalia huko unakuja kulia lia kwa wanaume wa shoka huku wakati hakuna anayetaka kunukizwa mavi uliyochokonolewa huko.
...zezeta; hizo tabia zako ulizoandika hapo acha chumbani,usizilete kwenye jumuia!
 



zimebaki point ngapi? na bado
 
....wow kumbe ni big klub in Real's view?! a team standing 8th, with 39 points, and you are here laughing!!



tabia za wafamaji bana.......psg katolewa na man city nafikiri man city anaongoza epl na kule league one psg ni wa 10


mpira unapokosea ndo unapofungwa.
 
tabia za wafamaji bana.......psg katolewa na man city nafikiri man city anaongoza epl na kule league one psg ni wa 10


mpira unapokosea ndo unapofungwa.
Mkuu hawa watu wana shida kubwa sana kuliko tunavyofikiri., na kati ya watu wenye unafiki wa grade ya juu kabisa., Si ajabu wengine hawakupata usingizi kabisa usiku wa kuamkia Leo., anashangaa sisi kufungwa na team inayoshika nafasi ya 8 kwenye ligi yao, ila anasahau kua hata week haijapita walitoka kufungwa na team inayoshika nafasi ya 10 kwenye ligi., sasa mtu kama huyo utamwelewa Vp! !
 
😀😀😀 Madrid bhana! Mnafurahia ushindi kwa timu dhaifu hivyo,inayoshika nafac ya 8 na isitoshe ialiwatoa jasho last match, hahahaaa huwa mnaniacha hoi jamani...haya jifuraisheni tu ila uefa mtakuwa mnaisikia tu....vivaaa el vivaaa bacaz, sisi tunakamata then tunaBAKA mmoja baada ya mwingine
 
Wewe ni wa ajabu kweli, hivi Real Sociedad anaongoza ligi eeeh????
Maana hii timu imeitandika Barcelona mkwaju mmoja wa maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…