Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #16,541
Hawa watoto kila nkikaa naona kabisa leo watajuta kucheza na sharubu za baba....
ni kweli kabisa, maana nmebidi hadi niende uwanjani na Jacket ili nizuie kunyeshewa na mvuanasikia mvua inapiga balaa hapo santiago.....
Mhhhh?🙄🙄🙄🙄🙂ni kweli kabisa, maana nmebidi hadi niende uwanjani na Jacket ili nizuie kunyeshewa na mvua
nasikia mvua inapiga balaa hapo santiago.....