Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,441
Umeona vita ya arbeloa na pique Twitter?Real Madrid best winning streak this season in La Liga:
Levante
Celta
Las Palmas
Sevilla
Barcelona
Eibar
Cpo twitan tupe apaUmeona vita ya arbeloa na pique Twitter?
Hawa jamaa wana ugomvi wa muda mrefu kwenye social media hasa Twitter, sasa Jana baada ya Barcelona kupigwa arbeloa akatwitt "How hard is to win against 11!"Cpo twitan tupe apa
haha! Kumbe uswahili mpka uzunguni, acha wapigwe tuuu mtaan tupate amanHawa jamaa wana ugomvi wa muda mrefu kwenye social media hasa Twitter, sasa Jana baada ya Barcelona kupigwa arbeloa akatwitt "How hard is to win against 11!"
Baadaye pique akamjibu “A player who has started once in 32 games
does not deserve a response.”
Majibizano yakaendelea arbeloa akatwiit tena "Great movie, The Truth Hurts." Akaandika kwa kihispaniola ila kuna neno akakosea spelling pique akamdakiza juu juu kumkosoa
Ila Mara nyingi pique ndio anakua mchokozi, jamaa huwa anapenda sana Yale matusi anayokua anatukanwa na fans wa Madrid kwake yeye ndio huona fahali, ila nae huyu dogo arbeloa naona ameamua awe maarufu kupitia social media baada ya kuona uwanjani pagumu.haha! Kumbe uswahili mpka uzunguni, acha wapigwe tuuu mtaan tupate aman