Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Luka Modrić and Keylor Navas will not feature against Eibar as Zinedine Zidane wants to them at top level against VfL Wolfsburg. [AS]
 
Hala madrid.....moyo wangu unanisukuma kuwa tunaweza...nina hakika dakika 45 za kwanza tutakuwa tumeshamaliza shughuli....lakin zaidi ninaona kilio chetu chakupangwa danilo kimewafikia wakuu...
 
Real Madrid are interested in José Giménez and willing to pay his release clause of €60m. [Jugones]

Hala madrid.....moyo wangu unanisukuma kuwa tunaweza...nina hakika dakika 45 za kwanza tutakuwa tumeshamaliza shughuli....lakin zaidi ninaona kilio chetu chakupangwa danilo kimewafikia wakuu...

Team work inahitajika mkuu. VfL Wolfsburg watakuja kupaki lakini wana speed ya ajabu kwahiyo defence lazima iwe makini sana kwasababu wakianza kupata goli tu, bye bye season.
 
Team work inahitajika mkuu. VfL Wolfsburg watakuja kupaki lakini wana speed ya ajabu kwahiyo defence lazima iwe makini sana kwasababu wakianza kupata goli tu, bye bye season.
Ni kwel kabisa...modric na isco wakianza game itakuwa nyepesi sana kwetu....wale jamaa nlichokiona kutaka kuwafunga kwa cross ni ngumu...wana watu warefu nyuma pale...lakn wana udhaifu wakugongana ikiwa mnapiga penetration pass....nafikir hawa jamaa wawili wakiwa katika ubora wao second leg nakuhakikishia watu wataenda lilia choon
 
Royal Madrid ni klabu ya wastaarabu hao watu ni wakupuuzwa tu
 
Ricardo Rodriguez father confirmed yesterday that Real Madrid are officially interested in his son. [Bleacher Report]
Huyo mzee anahangaika sana

Kisa tu kucheza na hiyo timu inashika namba 8 kwenye bundesliga ndio aone mtoto wake anafaa kuwa kwenye Los Blancos!!!!

Ila sishangai, mchezaji yoyote ili kupata mkataba mzuri lazima ajinasibishe na Real Madrid
 
Luka Modrić and Keylor Navas will not feature against Eibar as Zinedine Zidane wants to them at top level against VfL Wolfsburg. [AS]
Nadhani Kiko Cassilla yupo vizuri apewe nafasi

Hata hivyo hatuna hope na La Liga
 
sio kweli Mkuu na hakuna mashabiki wenye lugha chafu kama wa EPL
 
Ukishaona mtu mzima na upo humu ujue una akili za kitoto. So acha tuwavumilie tuu. Social network ni za vijana ukishajiona mtu mzima ka tune Redio Tanzania. Jiangalie vizur kama wewe mtu mzima na upo humu basi jua umepoteza dira na mwelekeo wa maisha yako.
 
Reactions: PNC
Hii sio facebook....jaribu kutofautisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…