Mtazamo wangu kipindi cha kwanza tulienda kushangaa ujeruman hatukwenda kucheza mpira...timu kuanzia beki hadi mbele yote inashangaa nafikir wanajisahau kuwa warmup time imeisha...modric anatakiwa apande juu acheze nyuma ya ya washambuliaji...kross kashindwa kazi yakuipandisha timu...hawa watt wamejipanga kati...inatakiwa mtu anayeweza punguza nakutoa pasi za haraka...