Wape ukweli mkuu japo ni wanaona ni ngumu kumeza, ila kuna fan mmoja humu wa Madrid amekubali kwamba kwa Madrid hii haiwezi ifunga Barca leo.Hivyo siruhusiwi kuchangia humu? Kwa taarifa yako tu huu sio uchafu, uchafu ni ule unaochangiwa na fans wako na mnajua fika mnapigwa reo! About me kama ni uchafu ni-singetuma coz najua leo mtakung''utwa na baka! Japo mi si mshabiki wa baka rakini nawachukia madrid
We jamaa kabila gani?Hivyo siruhusiwi kuchangia humu? Kwa taarifa yako tu huu sio uchafu, uchafu ni ule unaochangiwa na fans wako na mnajua fika mnapigwa reo! About me kama ni uchafu ni-singetuma coz najua leo mtakung''utwa na baka! Japo mi si mshabiki wa baka rakini nawachukia madrid
We jamaa kabila gani?
Wape ukweli mkuu japo ni wanaona ni ngumu kumeza, ila kuna fan mmoja humu wa Madrid amekubali kwamba kwa Madrid hii haiwezi ifunga Barca leo.
We can do it bro, just believe, hawa wanaoleta mbwembwe humu sio muda watapoteaI'm hoping for a decent performance and for the players to give everything they have.
Najua wewe ni Man U, hivi unaishabikia Madrid kwa kuwa kuna Ronaldo au kwa sababu huipendi Barca na Messi wake?We can do it bro, just believe, hawa wanaoleta mbwembwe humu sio muda watapotea
Free world, free choiceNajua wewe ni Man U, hivi unaishabikia Madrid kwa kuwa kuna Ronaldo au kwa sababu huipendi Barca na Messi wake?
Ok but why Madrid?Free world, free choice
Wembee alishawahi niulizaga swali kama hili Mkuu, nadhani nilimtolea maelezo yakutosha sana, jaribu kupitia pitia news za nyuma baada ya game na atleticoOk but why Madrid?