Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #15,741
Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.BREAKING: Raphaël Varane got injured during the international break France and will miss El Clasico tomorrow. [via @JLSanchez78]
Kovacic anatakiwa awe mvumilivu kwanza, anahitajika n.a. bado atahitajika sana hapo baadae., aliletwa kama mbadala wa Modric. Uwezo anao wa kucheza Real Madrid. Pia bado Zidane hajabadilisha mfumo wa uchezaji ndio maana nafasi yake inakua ngumu., ila ninajua wakati utafika n.a. atacheza tu. Hope Mwenzie Modric atakua alimweleza kilichomkuta msimu wake wa kwanza, kua kwenye kikosi cha Real Madrid inahitaji kua mvumilivu sana.Mateo Kovacic and Alvaro Arbeloa have been cut from the squad on technical grounds as 19 men are called up by Zinedine Zidane for the trip to Camp Nou.
Arbeloas contract expires in the summer so it's understandable.. But Kovacic was only signed last year, is this the beginning of the end for his career at Madrid already?
Mkuu wala usiogope na hakuna sababu ya kukata tamaa, sioni tukifungwa leo kabisa. Ninaimani tutashinda! !wadau kwema nimehadimika sana,nimesoma comments za wadau najua wengi hatuna matumaini na game ya kesho sababu ya mwenendo wa timu yetu hila naungana nanyi msimu hujao inabidi kuuza karibu nusu ya timu maana sasa hivi la liga tunaisikia kwenye bomba tu inatia hasira PEREZ lazima aondoke yeye ndo mwalibuji wa kwanza wa hii timu yetu.
Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.
Kilichonishangaza zaidi ni Varane kukubali kucheza game ya pili wakati tayar ya kwanza alijihisi kama anamaumivu., hajijui?? au bado utoto unamsumbua.., Ramos alijisihi kama anamaumivu kidogo tu akaondoka kwenye kambi ya team ya Taifa, yeye akakomaa wakati Ile game ilikua haina maana yoyote!!
Wote Varane na coach wake Deschamps huwezi kuwatoa kwenye hii saga, kwanza Varane ni mtu mzima sasa anajielewa, alishajiuguza miezi kadhaa anaelewa sana kuhusu matatizo yaliyomkumba, huyo Deschamps na yeye ni coach wa ajabu sana.., game ya kirafiki unaruhusiwa kufanya sub 3+ ila bado akaendelea kumchezesha Varane.., kwani hawana CB wengine?Mkuu nimeona hata Zizou kamaindi Sana kuhusu Varäne. Lakini lawama za Zizou ni kwa Coach na medial team. Inasikitisha kumkosa Varäne hawa kwenye Champions League
Vp huko kwenu hakuna thread ya barca?View attachment 334095
Jamani messi hakabiki,,,,,, Duh timu nzima inamkaba mtu mmoja...muoneni ronaldo anauchunguria mpira pale uripo hadi anta kuanguka,
Alikimbia lawama classico.Hii injury aliyoipata Varane ilinichukiza sana, sababu ni kama ya kujitakia., haiwezekani game ya kwanza alipata majeraha then game ya pili bado Didier akamchezesha.., wakati game zenyewe ni za kirafiki tu.
Kilichonishangaza zaidi ni Varane kukubali kucheza game ya pili wakati tayar ya kwanza alijihisi kama anamaumivu., hajijui?? au bado utoto unamsumbua.., Ramos alijisihi kama anamaumivu kidogo tu akaondoka kwenye kambi ya team ya Taifa, yeye akakomaa wakati Ile game ilikua haina maana yoyote!!
Vp huko kwenu hakuna thread ya barca?
Mbona unajaza uchafu wa kitoto(edit) humu?
Nina hamu tushinde hii mechi ingawa ni ngumu kushinda