Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #14,121
Sielewi hii kitu ndugu..hivi Luna kila dalili ya Neymar kusign Madrid kweli?Ramos: "Neymar to Madrid? Football takes many turns. What you will never see is Sergio Ramos to Barcelona " [@elchiringuitotv]
-Thug life
Ahaa maana naona kila kukicha kuna info za aina hii.
Okey.halafu naona michezo ya aina hii ipo sana ili kuongeza unonoNi stunt tu ya kuteneza mazingira mazuri kwenye mkataba wake mpya