Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #13,661
Zidane anamkubali isc9 kwa sababu ya mwili kunyambulika...isco ana udambuudambu flan hivi ambao ukikaa vibaya unaweza tenguliwa kiuno
Aiseee haya magoli yaliyofungwa yamenipa raha sana...yaan unaona kabisa timu imetulia wachezaj akil.zimetulia...ni bonge ya magoli aiseeeYaani hawa walitusumbua enzi ya Benitez hawa
Hadi sasa timu unacheza vzr sana...imetulia,wachezaji wanaonana na njia za mipira zinatumika vyema...nimefurah sana utulivu eneo la kati na kule mbele BBC wametuletea habar nzuri leo...zaid pia niwape pongez safu ya ulinz ...imetulia sana
Mkuu umenichekesha sana...ni kwel wale wendawazimu wanashindana kucheza rafu nakupata kadiHapo kwenye safu ya ulinzi usiongee, kuna huyu Varane anajua kuitumia miguu yake mirefu mpaka ananiondoa wasiwasi man. Hapa ndio najua huyu asimame na mmoja kati ya Pepe au Ramos. Yaani hawa wendawazimu wawili wasicheze pamoja, hasa kwenye game muhimu.
Mkuu umenichekesha sana...ni kwel wale wendawazimu wanashindana kucheza rafu nakupata kadi
Hilo goli tulilofungwa nafikir kama marcelo angekimbilia kwenye mlingon wake moja kwa moja tusingefungwa...badala yake alimuwekea kiwingu kipa...