Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #13,421
Upo sahihi mkuu. Matokeo ya jana hata Rafael angeyapata. Kilichoongezeka hapo ni game spirit., mashabiki kuongezeka uwanjani na mijadala kwenye social media. Madrid ni ile ile.
Sure, we still would hammered Depor, but watching Real Madrid win under great Zinedine Zidane as manager is incredible. Anyway, I just want to see that forward line in one more tough match. Wasiwasi wangu mkubwa ni pale wanaposimama wakina Pepe, kama kuna kitu kitamwangusha Zidane, ni beki
Fabio Cannavaro: "Zidane? The players better be careful or he'll try to headbutt them."
Defence nadhani tunaionea kiasi. Wale jamaa wako protected na Modric na Kroos ambao ni offensive minded na wanachezeshwa positions ambazo sio zao. So, defence iko exposed sana.
Shida ya Madrid ni BBC. Benzema yuko sawa, anafunga na anaweza kucheza mpira. Bale control mbovu kiasi, ila bado energetic, anakaba, yuko kitimu. Cristiano ndio weak link ya Madrid. Uwezo umefika mwisho, jamaa hana uwezo wa kumtoka beki yeyote sasa bila mbio, ball control 0, bitchy attitude, predictable, you name it. Ila ndio Perez kaamua lazima jamaa acheze.
It's high time Perez left Madrid. He's a good president for Madrid, just terrible with his desires. Ana nia ya kuipeleka Madrid mbali zaidi, ila ndio anaharibu zaidi.

JAMANI, nasikia Game Theory yupo huku na ID nyingine, huyu ndiye muanzishaji wa thread ya Arsenal ma ndiye wa kwanza kuanzisha thread ya timu humu Jf, kwa timu za ulaya! Hongera zake kwa kuwa na such a visionary eye, ombi langu, NAOMBA ATUPE PASSWORD YA ARSENAL FC SPEACIAL THREAD. Tunahitaji kui-update wana Arsenal ila hatuna password na Game Theory haonekani! Kama upo huku kwa ID nyingine, tafadhari tupatie password huko Pm. Waweza tumia hata account yangu kunitumia!
Asante!!
Asante!Aisee!!! Hata fans wa timu nyingine humu JF wanalalamika pia kuhusu threads za timu zao hazijafanyiwa updates kwa muda mrefu. Inawezakana mwanzilishi amekufa, hatumii JF tena au alisahau kama watu wako serious na football.
Labda mjaribu kuwasiliana na manejimenti ya Jamii Forums, mimi nina uhakika moderators wanaweza kufanya kitu flani kizuri. Vile vile, threads kama hizi za makundi ni vizuri ziwe na holders zaidi ya mmoja kwasababu kitu chochote kikitokea kwa mwingine watu wa kuendeleza wapo.
Good lucky katika kuendeleza michezo.