Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #13,141
Perez anafanya maamuzi mabovu sana siku hizi,akiendelea hivi huenda Mourinho akarudi baada ya misimu 2Hii nafasi Ilikua ya Zidane tangia Carlo aondoke, sema ule uoga Ndio ulisababisha asubir kwanza.., so kazi imeanda kwa aliyekua ameandaliwa.. Hope stress zitaisha sasa..