Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Ha ha ha ha hivi mkuu tuweke ushabik pembeni hebu mchek cr alavyojiweka Huoni huo ni upunga aisee hata kama angekuwa mwanao ucngeruhusu kitu kama hiko
Asante sana mpendwa. Ila pole bana kwa yaliyokukuta. Hamia huku bana, nafasi yako bado ipo.
Mkuu PNC sijapenda kwakweli ulichofanya so uungwana
Mkuu PNC sijapenda kwakweli ulichofanya so uungwana
Ha ha ha ha ha ha ha ha haHahahahha eti nini BBC wamerudi????? Kw a kumfunga malmo??? Mngerudi game ya barca basi