jana kazomewa sana mshikaji, licha ya yote aliyoyafanya thamani yake imeshaanza kipotea taaratibu, akitaka astaafu kwa heshimu england asirudi maana heshima aliyojiwekea inamtosha bora aende marekani au uarabuni akachume pesa
Mimi kipindi cha nyuma nilionaga vema kuwa kama Ronaldo anataka kurudi Man U basi arudi akiwa na 29. Hapo kidogo itakuwa shwari, mbali na hapo itakuwa ni bure.
Kaka achana na hao watu wengine wanadandia tu treni hawajui nini kuhusu football as a game, wamekuja humu kubishana wengi wao ni fanboys tu, if you know what I mean.
The Spanish press inakula sahani mmoja na Benitez-mpaka personal life yake inachambuliwa,no stone is left unturned-kama jamaa ata survive hii onslaught basi he is more then human.Meanwhile press inaendelea kusema Barca ya mwaka huu ni better kuliko ya last year barring minor hiccups on the way Barca will conquer the world again
Kaka achana na hao watu wengine wanadandia tu treni hawajui nini kuhusu football as a game, wamekuja humu kubishana wengi wao ni fanboys tu, if you know what I mean.