Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Kila team inakuwa na penalty taker km ilivyo kwa team yako unayoshabikia au ulitaka aunt yako ndo akapige?

kwani aunt yangu anacheza madrid ?
kwani mimi nimepinga yeye kupiga penati ?
 
Kilichonifurahisha ni kuwa wakat team kubwa inaikandamiza SD goli nne kule watoto wetu castilla nao waliwapa dozi hiyo hiyo timu ya vijana ya SD...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…