Penaldo at his best
Kila team inakuwa na penalty taker km ilivyo kwa team yako unayoshabikia au ulitaka aunt yako ndo akapige?
Huyu ndugu Salamander amepotela wepi aisee?
Uzi unachuja bila Mshkaji. Nilijaaribu kuupeleka, ila si kazi ndogo. Inabidi mjitokeze wengine kuundeleza.
Aiseee pole sana nitakuwa nakuja kukusaidia😀😀😀
Fanya hivyo bana. Kwanza siku hizi muda wa game nakuwa lindoni, so siwezi hata kuona games live.
DSTV bei siku hizi mwenzio sicheki game.....lol