Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
sio mbaya pesa tuliyokua tunaitaka so far tumeshaipata, najua haikua rahisi kiivo kumchukua kama mlivokua mkidhania kwa € 25 mill
And oh..United, keep baby seating our future boys Martial and Depay. We'll write you a check whenever they're ready.
Mfyuuuuuu!!!!.........sorry bro sijamaanisha.....lol
hahaha niliwachokoza makusudi. Nyie ndugu zetu.
sio mbaya pesa tuliyokua tunaitaka so far tumeshaipata, najua haikua rahisi kiivo kumchukua kama mlivokua mkidhania kwa € 25 mill
Perez anajaribu kurusha karata ya mwisho, hii option ingewekwa mapema De Gea angetua Madrid siku nyingi
Don't get it wrong, kinachofanyika hapa sio ushindani kuchukuliana wachezaji kama unavyofikiria wewe. kama ni hivyo Real Madrid wangemlipa hela De Gea asisaini mkataba mpya na next season angekuja bure na Man U wasingepata kitu. Perez doesn't want to play it dirty...Ni biashara inayofanyika hapa, kwenye proffessional football hakuna mambo ya Simba na Yanga.
Hahahhaha !!! Ila undugu wenu wa Kula vya wenzie, mmetunyima Ramos, Bale na Navas pia ahhh!!! Huu undugu siyo kabisa!!!!.....
Ile €10 mill mliokua mmemuahidi ilikua ni ya nn?
Sahau Navas. Haji Uingereza kwa kujumlishwa na De Gea, Perez atalipa hela yoyote.
Kama Perez alimuuza Ozil, Di Maria how ishindikane Navas .Sidhani kama Navas atakubali kubaki De Gea akifika kabla ya huu uamisho alikuwa na uhakika ndio kipa no 1,lets wait and see