Huo msemo siujui naujua huu #halaaMadrid....... Hongera Kwa point moja si mbaya waswahili tunasema heri nusu Shari kuliko Shari kamili.....nakusalimu tu best yangu nimekumiss ile mbaya....
walisema matokeo mabaya ya Manchester msimu huu kisingizio kitakua Ramos alitusaliti, thatha tuwaulize hii droo na timu iliyopanda daraja tatzo nini? au tatzo ni van gaal kutomruhusu de gea kuondoka?
walisema matokeo mabaya ya Manchester msimu huu kisingizio kitakua Ramos alitusaliti, thatha tuwaulize hii droo na timu iliyopanda daraja tatzo nini? au tatzo ni van gaal kutomruhusu de gea kuondoka?
Hahaha. Ndiyo game ya kwanza ya ligi. Tulieni hata ligi ichanganye kidogo basi.
And the funny part is entertaining playing Gareth bale in free role position while he has got five players (Isco, James, Kovacic, Modric, Kroos) in his squad who are naturally playing in that position. Yet anaenda kumchezesha Jesse kama lone striker, wakati yeye mwenyewe tuu hata assist hawezi kutoa mtu ashinde. Cha kushangaza zaidi, katika first eleven, Jesse ameanza instead ya james.? Kwa madrid ya sasa James is irrepleceale, Ronaldo hawezi kuperform pasipo mtu kama James & Benzema on pitch.
Kaja na formation yake timu inaonekana kama inacheza " tobo bao " . First half tuu twachezaji wamepoteza zaidi ya pasi 110 kati ya 450 tulizopiga. Msimu huu Tutamkumbuka Don Carlo.
Huyu kocha inaonekana kaja na majina ya wachezaji mfukoni, Siyo bure.
Haya tumetulia,Maoni yako binafsi juu ya Benitez naona vilio vya wengi wewe unamzungumziaje?....looh!!! Tuko kwenye interview tafadhali karibu sana Boss fans tunakusikiliza........
Paulo Sergio De Souz na Salamander ni mtu mmoja
Haha. So far so good. Rafa ni bora zaidi ya Carlo Ancelotti. Jana ni wachezaji tu walikuwa rusty, sio makosa yake. Shots zote golini walikuwa wanampa kipa alipo. Bado nina imani na Rafa.
Paulo Sergio De Souz na Salamander ni mtu mmoja
Vizuri sana bado tuko kwenye interview. ...unafikiri nini kifanyike ili timu yako iweze kuwa kwenye uwezo mzuri wa kupachika mabao maana toka preseason ushindi umekuwa wa kumulika na tochi.
N.B usijiulize huyu vipi ananiuliza maswali mengi Mbona Yale Yale kama ya timu yake,loh! Real Madrid ni timu ya dunia buana!!!(In Madridista's voice).
Mzee wa majarida Salamander umekimbia pole mtani ndio ukubwa huo Na wala siwez shangaa ulidroo na valerenga ukaja shinda 2:1 kwa taaabu vs galatasalay sasa siwez shangaa
Hahaha. Ndiyo game ya kwanza ya ligi. Tulieni hata ligi ichanganye kidogo basi.