Nilikuwa naangalia highlight kibao za huyu jamaa..mimi binafsi naona kama kiwango chake nicha kawaida,lakini pia naona bado kocha hajajua tatizo letu la msingi haswa,unajua toka aondoke alonso pale hakuna wakuunganisha timu kabisa....