Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hapa naona umakini unakosekana hapa mbele...watu wanakaa mbali na box la adui
 
Halafu wamemkamata Isco, yaani akichukua mpira tu watu watatu wanae.
 
Half time ni 0-0....naona tumezidiwa kiungo cha ukabaji...hawa watt chervy,jesse na nacho wamezidiwa,maana siyo tu wameshindwa kumiliki mpira wakipata ila pia hawatoi accuracy pass wakipata mpira kias ambacho wanampa isco kazi yakushuka hadi chini huku
 

Sasa kama hawawezi wanafanya nini kwenye squad, huyu Jesé na Nacho ni wa kuuza tu.
 
Ina maana unataka kuniambia akikosekana ronaldo na bale mipira ya kona haina madhara
 
Hahahhahahhahahahhahaha....imebidi nicheke tu,huyu illara ameingia kufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…