Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #9,761
Hahaha, yaani huyo jamaa kulia hapo ananikata moto acha tu, sijui kwanini yupo mpaka saivi.
Hii Stream https://www.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=x_zdQhA8f5k&app=desktop babkubwa sana, nadhani watarusha games zetu zote, na za timu nyingine pia. Nimekosa HD.
"Premier League mnatakiwa kuishia kuleee!"
Hahaha nilikuwa naishiwa nguvu kila walipotuhusisha na haka kajamaa hapa chini, huyu jamaa ukimuweka Yamoto band ana-fit kabisa yaani.