Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #9,001
Real Madrid have ruled out signing Chicharito and the player is close to signing for Orlando City. [Marca]
huyu jamaa lucas ambaye tumemsajili sijawahi mfuatilia kabla...vp perfomance yake?
​kwa hiyo unaniambia tumenunua mbuzi kwenye gunia?Sio katika kiwango cha Real Madrid.
​kwa hiyo unaniambia tumenunua mbuzi kwenye gunia?
My main man in white for the coming season, as was the last one anyway.
​kwa hiyo unaniambia tumenunua mbuzi kwenye gunia?
wadau xo real tayari wame mwachia ramos au vip..!!??