Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #8,581
Anataka nini tena, hair gel hazitoshi ama? Huyu nae anadeka sana bana.
AS | Sergio Ramos wants to leave Real Madrid. ‪#‎WhatDaHell‬
- Sergio Ramos wants to leave this summer. He is very angry with the club for not denying the Ramos/Barcelona rumors.
- He didnt talk with other clubs yet but Man United, Man City, and PSG are the most likely options.
- Ramos has asked the club to lower his buyout clause, which is now 200M.
- Money is not the issue in his decision. He would want to earn the same (6M per year) at his new club than he does now with Real Madrid
Huyu nae nani alimdanganya kwamba hawezi kuuzwa? Hamjui Perez vizuri.
Nilisahau kabisa muda wa game. Real Madrid Baloncesto 100 Regal Barcelona 80. 2-0 that is. Tunaenda kwao for game 3 on Wednesday, tukishinda hiyo ¡EL TRIPLETEEEEEE! Vamonos chicos, Hasta el Final, Hala Madrid.
BOO-YAH!!!
Sergio akili zake mbovu, anajifanya ana caracter, lakini kwa hii issue anaonekana stupid and traitor. Robinho aliondoka wakati club bado inamuhitaji lakini still respected by fans kwasababu akuondoka kwa utata. Mwache aende, wenzie kina Guti mpaka leo bado wana something to say with Real Madrid.
Ubaya huyo jamaa kashajiona Star, acha aende walipo tayari kumpa that amount. Ndio maana nilikuwa sitaki Iker aondoke atuachie captain chizi na mwenye tamaa.