Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #8,261
Ilikuwaje hiyo game? Sikuipata
Spain wameshinda 2 - 1. Costa Rica wako vizuri kwenye defence. Spain ilikuwa sio rahisi kuwatathmini kwasababu Del Bosque anatoa anaingiza wachezaji wote, hata hivyo huko kwenye Euro 2016 kazi wanayo. Gerard Pique booed and whistled by Spain fans, I didn't like it, they should let it go. Then nilihamia kuangalia Woman World Cup linaloendelea Canada. Jana lilikuwa bonge la game kati ya mademu wa Germany vs Norway.