Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Pigo kwa Africa na Asia kivipi? Hatujajua anayekuja kumrithi.Aiseee!!! Ndo naangalia BBC nakutana na hii habari,hili ni pigo kwa Africa na Asia. Waingereza wamepiga kampen mpka wamefanikiwa.