Kimsingi huyu mtoto anatakiwa aanzie benchi.Vinicius kafanya mechi kua ngumu harafu katulia benchi analaumu wenzie.
Kuna dalili zozote za Real Madrid kupambania point 3 leo mbali na ubingwa wa La Liga 2026/2027?Maninaaa...wamesawazisha..🤬🤬🤬
Ndo unaangalia marudio sio
Ndo unaangalia marudio sio