Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jude, Militao na Diaz turned up the heat walipoingia. Neur bado mnyama
 
Matokeo haya sio mabaya sana hata kama game ijayo tutacheza kwao
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Safi sana na bado kenge nyie nawachukia mno yaani akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia kenge wakubwa tena
Dadaq kenge ni livakuku unapigwa home and away mnahaibisha soka la EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…