synonym II
JF-Expert Member
- Nov 25, 2024
- 276
- 312
Sana aisee, hawezi kubali kirahisi kupigwa mechi 3 consecutive 😀Simeone always ni defensive na anajua kuwajenga kisaikolojia wachezaji wake. Wakatalani wako vizuri lakini juzi tu hapa ka score mara 4. Kwahiyo kesho game itakuwa ya kusisimua.
Ingine hii hapaPicha imepigwa saa 7 usiku
Naam Ngoma inaenda sare hii Atletco Madrid nje.
Wasenge wanakaba kama vibaka wa keko mpira gani wakiboya hivi timu nzima inakaba
Kila unakoweka kambi lazima kuna watu watalia.Naweka Kambi hapa
Jamaa hawaachi nafasi Mzee, ndio maana huwezi kuwaona akina Vini wanacheza mpira, cha kufanya hapo ni kufunguka kutokea nje., maana kuingia ndani ya box lao ni utata kidogo.Ht tumepigwa 1, Bellingham, vin, mbappe, Rodrigyo wamepotea.
Tshou yupo vizuri ila sio sana second half inahitajika awe bora zaidi.
Modric kacheza vizuri.
Rudiger sometimes ana ka utoto flan
Anadhani Acensio ameshakomaa kiivo.
Hili goli linarudi tukitulia.