Huyu dogo Ansencio anafanya kazi ya kitume sana leo,akiendelea namna hii huyu ni Ramos ajaye...HT hii sina baya kwa vijana,wamecheza vyema,kila tulio wapo vzr,wakiwa na mpira na hawana mpira,..kipindi cha pili sasa nikuwapigie lile pira miujiza la usiku wa Bernabeu ili tuwapige nyingi wasituzoeee hawa.