Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Sisi weakness yetu bekiVamoooosReal
Hapa tunamtegemea sana Ceballos kuamua tuchezeje, akizingua ujue imekula kwetu.,Sisi weakness yetu beki
wao weakness yao Eneo la kati,
kiungo mkabaji anasimama stone na bernado silva... ni wazi game hii wanataka kuishika kwa kumiliki mpira zaidi.
Dawa yao ni ile ile Gusa achia twende kwao.
Halla Madrid
Na pep nadhani haesabu zake zipo hapo kwa ceballos.Hapa tunamtegemea sana Ceballos kuamua tuchezeje, akizingua ujue imekula kwetu.,
Tupeni tathimini Wakuu., game ipo vp, kuna matumaini ama ndio imetoka hiyo., hapa labda nitawahi kipindi cha pili.
I second you man, hii game city anacheza kiujanja ujanja sana anajua hayuko sawa.Hatujawahi kufungwa na Manchester City mbovu kama hii
Hii game inanikumbusha el clasico ile ya ligi tuliyopigwa 5.Tupeni tathimini Wakuu., game ipo vp, kuna matumaini ama ndio imetoka hiyo., hapa labda nitawahi kipindi cha pili.
Camavinga kaamka saiv, naona hata ceballos kapata uhuru flan wa kucheza1-1. Tukikaza hii game tunashinda, our attacking trio showed up tonight.
Camavinga kaamka saiv, naona hata ceballos kapata uhuru flan wa kucheza
Diaz super sub
Nyie uchawi upo 😅😅