Namna team inavyocheza inahitaji kiungo mwingine wa kuunganisha ama kuchezesha team, Ancelloti afunge tu macho, mmoja wao atoke, kati ya Vini, Mbappe ama Rodrygo.,
Hakuna creativity ndani ya third ya adui,
Vp akimtoa Mbappe na Valverde, kisha akaingia Modric na Güler?