Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Shida ya ancelotti ni mara chache kuvumbua vijana , kwasababu huo upande wa lucas ulitakiwa kuwa na mbadala hata kwa academy ya timu.

Ndio maaana Guardiola hawezi vumilia upuuzi kama anao sacrifice ancelotti,kuwa yeye akishaona pengo mara moja huchukua hatua. Nashangaa kuna game tchouameni akigusa tu mpira anazomewa lakni carlo mechi ilofata alimpanga fresh tu bila bugdha🙌
 

Kweli mkuu, sio sababu ya kuwa na academy halafu watoto hawapewi nafasi ya kuziba mapengo kama haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…