Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hii hoja yako hua naielewa sana.

Ila binafsi hua naona haiko fair.

Imagine jana Rodrigyo angekua na kiwango kama cha vin... angefanyiwa sub mapema tu.

ndo maisha yalivyo mkuu, uwezo mtupu sio kigezo cha mafanikio. Wa kina Jude vini, messi ronaldo, kuna kijana Palmer, foden na wengi tu wana PR nzitto za kuwapmabania, kuna vitu unaweza hata usiamani, unaweza kutu chombo kikubwa cha habari wachambuzi wanapenyezewa bahasha halafu unaona sifa zinamwaga kwa mtu.
Ni rahisi sana kuona Jude, vini au mbappe kuwa man of the match kwenye mechi ila kwa rodrygo sasa huwezi kumbuka mara ya mwisho lini ameshinda hio tunzo licha ya kuwa ni wazi kabisa yeye na Ceballos ndio wamekuwa best players wa timu in the last 10 games lakini huwezi sikia hata man of tha match kupata.
 
Kweli kabisa.
 
Sahihi kabisa, na wakiendelea hivi dogo anaweza kwenda arabuni kuchota hela.
 
Tchou akicheza katikati hua anaupiga mwingi sana
Arda kwa kweli anavunja moyo sana, benchi analokaa analistahiki kabisa
Brahim diaz ni nyoko kabisa
Mendy sio wa mchezo mchezo jamaa hata bongo hafai
Endrik ana skill nzuri ila tatizo lake kubwa ni kukaa vizuri kwenye position, anakimbia sana box bila ya sababu ya msingi, yule kijana alieingia alikuja kufanya kitu ambacho Bobby kilikua kinamshinda
 
kuna mpuuzi anaejiita Madrista nilikuwa naangalia nae mechi, wakati enrick anatolewa alirusha matusi sana kwa Carlo, baada ya dogo alieingia kupachika bado alishindwa hata kushangiria kwa aibu
 
Tchou ni mzuiaji mzuri ila sio passer mzuri, kwahyo kucheza kama beki wa kati anaweza tena akicheza kama beki 4 ila hafai kucheza kama beki wa mwisho.

Diaz ni kipaji kikubwa.

Endrick ni mzuri ila binafsi naona anakurupuka sana kama ulivyosema hakai kwenye nafasi na kwenye maamuzi yake anakurupuka sana.

Vini kadekezwa sana na carlo jana kamuonesha utoto kaka mkubwa Modric.
 
kuna mpuuzi anaejiita Madrista nilikuwa naangalia nae mechi, wakati enrick anatolewa alirusha matusi sana kwa Carlo, baada ya dogo alieingia kupachika bado alishindwa hata kushangiria kwa aibu
Real Madrid, Barcelona na Manchester City zinaongoza kwa kua na mashabiki mamluki wengi hasa ukanda wa huku Africa.

Yule dogo aliefunga goli madrid haina mshamvuliaji aina ile.

Pure no 9... sema kwa umri wake ana kazi kubwa kutoboa kikosi cha kwanza, labda wamtoe kwa mkopo ligi ya Italy au ufaransa.
 
Yule Dogo weekend iliyopita alitoka kufunga goli 4., sio bahati ila ni anakuja vizuri sana, ni vigumu kweli kutoboa ila inawezekana sema Coach asiwe Ancelloti, kwasababu sio mpenzi wa kulea vijana, acha tuone club itam-manage vipi.
 
Uhhakika kaka yaani dogo yawezekana hana kiwango kibuwa Sanaa ila ana tabia ya kishambuliaji kweli, kwahyo akipikwa anaweza kuja kua David villa mpya kwa Spain maana wana uhaba na striker hao.
 
kwa ma super star waliopo Pale ni ngumu sana dogo kupata nafasi, mana linapokuja suala la mastaa hata rotation huwa hawafanyiwi kirahisi. wanatakiwa wamtoe kwa mikopo halafu wanaweza kula hela nzuri.

Madrid inahitaji striker sampuli za Josel ndio atatulia.
 
Yule Dogo weekend iliyopita alitoka kufunga goli 4., sio bahati ila ni anakuja vizuri sana, ni vigumu kweli kutoboa ila inawezekana sema Coach asiwe Ancelloti, kwasababu sio mpenzi wa kulea vijana, acha tuone club itam-manage vipi.

acha kukariri mkuu, Real Madrid ndio sio club ya kulea vijana, hata kabla ya Carlo ni kijana gani aliepata nafasi kiwepesi?

Vini na Rodrygo ni matunda ya Carlo, bila yeye sahivi wangelikuwa wapo french league wanacheza kobole.
 
Mkuu Tchou kwa position yake hakuna ulazima wakuwa passer mzuri, kazi yake ni kukaba maeneo, kunyang'yanya na kuachia mpira kwa ma CM na AM wafanye vitu, na anaifanya kwa kiwango kizuri kabisa. Tatizo linakuja timu kukosa ma CM na AM wazuri wanaposhindwa kufanya kazi zao washabiki uchwara wenye ueleo mdogo ndio huanza kumshutumu yeye kwa kitu ambacho yeye halazimiki kuwa nacho. last two seasons alipokuwa akicheza na Kroos na Modric pamoja hatukuwahi kusikia malalamiko ya aina yoyote.
 
Ndomana nimesema kwa sasa afadhari acheze beki wa kati ndio anakua vizuri zaidi kuliko kiungo, maana Kroos mpiga pasi hayupo na modric controlla wa game ndo hivyo tena.
 
Ndomana nimesema kwa sasa afadhari acheze beki wa kati ndio anakua vizuri zaidi kuliko kiungo, maana Kroos mpiga pasi hayupo na modric controlla wa game ndo hivyo tena.

hilo sio tatizo lake ni tatizo la timu kuwa na midifields ambao ni belowa standard. Tatizo anapocehza beki huku akiwa na mtu kama vasquez pemeni anakuwa anapata shida sana. Na pia pengo lake katikati tunapocehza na timu zinazo miliki vizuri mpira linakuwa ni kubwa sana kama vile Barca au City.
 
Uhhakika kaka yaani dogo yawezekana hana kiwango kibuwa Sanaa ila ana tabia ya kishambuliaji kweli, kwahyo akipikwa anaweza kuja kua David villa mpya kwa Spain maana wana uhaba na striker hao.
Analijua goli vizuri sana, niliona mahojiano yake yupo vizuri pia kwenye uelewa wa game, sio bahati mbaya kuwa ndie kinara wa magoli kwasasa kwenye rank anayochezea.
 
Analijua goli vizuri sana, niliona mahojiano yake yupo vizuri pia kwenye uelewa wa game, sio bahati mbaya kuwa ndie kinara wa magoli kwasasa kwenye rank anayochezea.
Wachezaji wa kihispania wapo vizuri sana kichwani..

Natamani madrid tuwe na kiungo mmoja mkabaji raia wa Spain kama rodri vile.

Kuna yule dogo wa real sociadad miaka 26 sijui tunakwama wapi kumchukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…