Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Na bado mtafungwa sana kenge nyie nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
Hiyo I trailer tu city anakuja mtapigwa sana kenge pori nyie. Nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia
 
jamaa walicheza kwa nidhamu sana, tuna lack quality fullbacks kwenye attacking.
Sub ya ceballos sikuielewa modric alitakiwa kuingia ila sio Dani kutoka.

Kama kocha alishindwa kumtoa vervede au Bellingham ili modric aingie ni Bora angetoka vasquez, vervede akacheze kule kulia.

Baada ya kutoka ceballos pale kati palibaki Uchi kabisa.

Rodrigyo wa moto now

ila vin game kipindi cha pili ilimkataa hakustahili kumaliza dakika 90
 

Ni kweli either Jude au Valverde ndio waliotakiwa kutolewa, ila alichokifanya sio kama ni upumbavu alijua nini anafanya na sio mara ya kwanza kufanya bahati mbaya tu mambo hayakwenda sawa, Modric ana offer zaidi kwenye attacking kuliko ceballos, na ndio mana aliifanya ile sub ili aengeze mashambulizi.
 
Ni kweli hata Jude angetoka ingekua sahihi
 
Sure man, Carlo kama kawaida uoga wake ndio unatuumiza msimu huu., jamaa wameshaamua kukaa nyuma una Arda Güler anayeweza kucheza kwenye hali hiyo na yupo bench ila anaogopa kumtoa mtu fulani, ajabu sana. Tulikuwa na advantage nzuri tu, ila tuaanza kucheza tena kwa presha, na game inayofuata ni dhidi ya Atletico Madrid.
 
Kuna wachezaji nahisi wanampa presha kocha kuanza, Jude na Vin hawa naona kama kocha anawagwaya sana.

Kinachombeba Rodrigyo ni performance yake vinginevyo mzee hua anamtumia kama mbuzi wa kafara kumuweka bench huyu dogs kisa hana matatizo na kiburi.

Ila vin ata awe na kikwango kibovu akiwa fit et lazima acheza sa sijui kwann.
 

mkuu hao tayari wana hadhi ya kuitwa mastaa, kwahiyo tayari unakuta wapo juu ya kocha, akijaribu kuweka bench mara bodi inaanza kumuhoji. Bodi za timu huwa na demand zao masuper star wao always huwa wantaka wawemo uwanjani.
 
mkuu hao tayari wana hadhi ya kuitwa mastaa, kwahiyo tayari unakuta wapo juu ya kocha, akijaribu kuweka bench mara bodi inaanza kumuhoji. Bodi za timu huwa na demand zao masuper star wao always huwa wantaka wawemo uwanjani.
Hii hoja yako hua naielewa sana.

Ila binafsi hua naona haiko fair.

Imagine jana Rodrigyo angekua na kiwango kama cha vin... angefanyiwa sub mapema tu.
 
Na bado mtapigwa sana. Vipigo vingine viko njiani vinakuja. Nawachukia sana. Baada ya Shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Hapana wanaweza kucheza pacha na vervede.

Wanaita double pivot sijui.

Belingham hawezi cheza namba za nyuma, moja weakness yake kubwa ni kushindwa ku cover position, always yupo out of position. ikiwa hapo namba 10 anashindwa kukaa muda wote yupo position ya 9 hivi kweli ataweza kutulia namba 8? na Pia ukisema wacheze wote kwa maana mtu kama Ceballos akae nje? time lazima inahitji mtu wa ku control tempo of the game bila ya hivo timu itazidiwa mechi zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…