mkuu kwani hapo we unaona tunacheza formation gani? tatizo kubwa timu yetu kati kati ni dhaifu, na nyuma ndio hakufai kabisa. midfield zetu hazina uwezo wakumiliki mpira vizuri wala kutenegeneza nafasi vizuri. wote Jude, Valverde na camavinga ni box to box, wapo style moja kabisa, alitakiwa achezo mmoja tu kati yao. tuna tatizo kubwa la creativeness.
Ilikuwa ni swala la muda tu,kupata aibu ya mwaka...sasa ni Perez aamue au uchaguzi watu wamlambe kichwa..huwez kufungwa mara mbili mfululizo tena kwa idadi kubwa ya magoli namna hii..
Ilikuwa ni swala la muda tu,kupata aibu ya mwaka...sasa ni Perez aamue au uchaguzi watu wamlambe kichwa..huwez kufungwa mara mbili mfululizo tena kwa idadi kubwa ya magoli namna hii..